Timu ya madaktari bingwa imewasili Zanzibar kuongeza nguvu katika sekta ya Afya.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ujio wa madaktari bingwa kutoka China ni fursa adhimu kuimarisha sekta ya Afya Zanzibar. Dk. Mwinyi amesema timu ya madaktari bingwa kutoka China imewasili Zanzibar kuongeza nguvu katika sekta ya Afya kwa kutoa wataalamu mbalimbali wakiwemo Madaktari bingwa wa operesheni bila